Table of Contents:
Reading time: 47 seconds
There are 2 methods to get your data (and account) deleted by Global App:
Now you understand what the Law says, Send your Request directly to Global App using the form below:
Alternatively, you can follow these steps below to get Global App to delete your account/data:
1. GLOBAL PUBLISHERS, Kupitia App yake mpya ya GLOBAL APP, imekurahisishia upataji na usomaji wa Habari za Kila Siku kuhusu Mastaa wa Bongo, Watu Maarufu, Viongozi, zikiwemo Habari za Magazeti ya Tanzania za kila siku asubuhi, REAKING NEWS mara tu zinapotokea kwa kupokea Notification kwenye simu yako ya kiganjani.
2. Utakuwa ukipata Notification mara tu Taarifa ya Habari yaTBC1 inapoanza saa moja asubuhi, saa 7:00 mchana, saa 2:00 usiku na Global Habari inapoanza kila siku jioni.
3. Ndani ya App hii kuna Global TV Online ikikuletea video zote kali za kila siku kutoka Ikulu, Mastaa wa Bongo, Wanasiasa Wote na Matukio yote Makubwa.
4. Pia Video Za Muziki Mpya wa Bongo Fleva, Habari zote za Michezo na Makala za Mapenzi na Afya unazipata ndani ya GLOBAL APP.
5. AIDHA, utaweza kusoma MAGAZETI YA UDAKU pamoja na Hadithi za Eric Shigongo kwa Mfumo wa Audio na Text.
Liked Global App? you may also like other News & Magazines apps like Breaker—The social podcast app; Australian News - Australia Newspapers App; UK Newspapers - UK News App; USA Newspapers - US News App; Guide for 9app Mobile Market;